Tomson alipo jiunga na wikipedia mwaka 2016

UTAMBULISHO

hariri

Ni mhariri na mwandishi katika wikipedia mwenye umri wa miaka 22 sasa (2024), Aliyezaliwa katika mkoa wa Kigoma. Mwaka 2007 ndipo wazazi wake walihamia katika Jiji la Dar es salaam ambapo mwaka 2009 alianza darasa la kwanza katika shule ya msingi ya mabwepande na mwaka 2015 alihitimu darasa la saba katika shule hiyo.Mwaka 2016 alianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Alfagems, na mwaka 2019 alimaliza kidato cha nne . Mwaka 2020 alijiunga na kidato cha tano katika shule ya Sekondari ya Minaki na mwaka 2022 alihitimu kidato cha sita. Novemba 2022 alijiunga na chuo kikuu cha Soikoine cha kilimo (SUA) Morogoro.

 
Mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria

MALARIA

hariri

Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mbu aina ya anofelensi.Ugonjwa huu unaweza kumsababishia

mtu homa kali na pia unaweza kumsababishia kifo.Ugonjwa huu hutibiwa kwa dawa maalumu zijulikanazo

kwa jina la mseto.Pia katika utumiaji wa dawa hizi ni lazima utumie na dawa za maumivu zijulikanazo kwa jina la panadol au paracetamol.

 
shati ninayoipenda

KAMUSI

hariri

Kamusi ni kitabu cha marejeo kinachomwelewesha mtumiaji kuhusu maana za misamiati mbalimbali,

maelezo yake na jinsi ya kutamka maneno hayo.Kuna aina tatu(3) za kamusi:

(i)Kamusi wahidiya

(ii)Kamusi thania

(iii)Kamusi mahuruti

Kwa lugha ya kiingereza kamusi inajulikana kama [[dictionary]

VITA VYA MAJIMAJI

hariri

Vita vya majimaji vilipiganwa mnamo mwaka 1905-1907.Kiongozi wa vita hivi kwa

watu wa Tanzania alikuwa ni Kinjeketile Ngwale.Vita hii ilikuwa ni upingaji mkali

dhidi ya utawala wa koloni la Ujerumani.Vita hivyo vilishirikisha baadhi ya makabila

ya wanyamwezi.