Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER

  • post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages.

As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

Kuanza , nguoEdit

Tomson salaam! Nimeona makala yako ya nguo. Ni chanzo chema ila tu naomba usiiache hivihivi. Maana makala mafupi mno hazisaidii sana. Kuna pia tatizo la kuingiliana na makala nyingine ya mavazi,

Katika umbo kuna pia kasoro mbili mazito:

  • hakuna jamii (category) chini yake
  • hakuna mpangilio wa lugha.

Kama ungetafuta jamii inayoweza kufaa ungeona pia ya kwamba jambo unalojadili kuna tayari makala mavazi. Hii unaweza kupanusha. Lakini ilhali "nguo" ina maana mawili tofauti yaani a) vazi na b) kitambaa unaweza pia kubadilisha makala kujadili habari za vitambaa. Hapa ningekushauri angalia kwenye wikipedia ya Kiingereza makala ya textile (ni ndefu), pia simple.wikipedia.org kwa "simple:textile" (ni fupi zaidi). Hapa unaweza kupata mawazo inafaa kutaja habari gani. Unaweza kutafsiri pia sentensi kadhaa (lakini usitafsiri sentensi ndefu za Kiingereza moja kwa moja maana tokeo lake mara nyingi si Kiswahili tena) .

Kuhusu mengine uliyoanzisha kwenye ukurasa wako pia fanya utafiti kwanza kabla ya kupakua; mfano tuna tayari makala ya vita ya Maji Maji ingawa ni fupi sana inaweza kupanushwa kwa kuongeza habari. Kipala (majadiliano) 15:44, 10 Julai 2017 (UTC)