Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24:
''[[Panthera l. senegalensis]]''
}}
'''Simba''' ([[jina la kisayansi]]: ''Panthera leo''<ref>jenasi Panthera inajumuisha na wanyama wengine ikiwemo [[tiger]] wa [[bara]] la [[Asia]], [[chui]] na [[puma]]</ref>; kwa [[Kiingereza]] ''lion'') ni [[mnyama]] mkubwa [[mla nyama]] (carnivore) wa [[familia]] ya [[felidae]]<ref>hii familia inajumuhisha paka wote wanaopatikana duniani, wakiwemo wanaofugwa nyumbani, paka pori, tiger, simba, chui na wengineo.</ref> katika [[ngeli]] ya [[mamalia]]. Maana yake ni kwamba simba hufanana na [[paka]] mkubwa.
 
Siku hizi simba wako hasa [[Afrika]] [[kusini]] kwa [[Sahara]].