Dodoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Dodoma''' ni jina la mji pia dodoma ni mji ambao inaishi jamii ya kigogo.
pia dodoma ina wilaya 8 nane ambazo ni kongwa ,chamwino,dodoma mjini,kondoa,chemba,bahi mpwapwa na kondoa mjini.
 
mkoa wa dodoma umepakana na mikoa ifuato morogoro,singida,manyara na iringa
 
* [[Dodoma (mji)|Mji wa Dodoma]] ambao ni Mji Mkuu wa [[Tanzania]]
 
* [[Mkoa wa Dodoma]]
 
* na Wilaya ya Dodoma (mjini na kijijini).
* Pia ni makao makuu ya chama tawala Tanzania, [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM).
 
 
{{Maana}}