Elektrolaiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Elektrolaiti''' ni kemikali ambayo husafirisha mkondo wa umeme.Hutumika kwenye mabetri kufanya ioni zitiririke , hivyo huzalisha mkondo...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:24, 11 Agosti 2017

Elektrolaiti ni kemikali ambayo husafirisha mkondo wa umeme.Hutumika kwenye mabetri kufanya ioni zitiririke , hivyo huzalisha mkondo wa umeme . Elektrolaiti huwa ioni kama ikiyeyushwa kwenye maji.Aghalabu vitu vinavyoyeyuka kama chumviasidi , na nyongo ni elektrolaiti

Elektrolaiti inayotumiwa katika "seli za kielektrolaiti" hubeba ioni kati ya elektrodi za seli. Elementi za kielekrolaiti zinaweza kutumiwa kuondokana na mambo yaliyojitokeza na kampaundi zilizomo katika mchanganyiko.

Mkusanyiko sahihi wa electrolaiti ni muhimu kwa fiziolojia