Mtihani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mtihani ni kitu ambacho mtu anapimwa kutokana na alichokisoma au alichofundishwa ili atambuliwe kwamba alielewa au hakuelewa. au Ni kipimo cha maish...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mtihani''' ni
Katika [[shule]] [[mwanafunzi]] hupimwa na [[walimu]] wake juu ya kile walichomfundisha ili kumjua kama anaelewa au haelewi
▲Katika shule mwanafunzi hupimwa na walimu wake juu ya kile walichomfundisha ili kumjua kama anaelewa au haelewi
Mitihani
==Sifa za mwanafunzi
*1) Mwanafunzi kama hajaelewa anatakiwa kuuòiza bila ya kuogopa kupigwa▼
*2) Anatakiwa kuwaheshimu walimuj na wanafunzi wenzake ili ajenge upendo baina yao▼
*3) Ajenge ushirikiano na wenzake katika kufanya kazi walizopewa▼
*4) Kama amepewa mtihani asimsaidie/asisaidiwe maana ni kipimo cha uelewa wao ▼
*5) Mwanafunzi anatakiwa afanye kazi alizopewa kwa muda aliopangiwa bila kuchelewa.▼
Mwanafunzi akifaulu mtihani tunasema kuwa alielewa na hupewa [[zawadi]] na walimu na wazazi nyumbani kama pongezi, hivyo basi mwanafunzi anapopewa zawadi hujijengea kwamba ili apewe zawadi inambidi asome kwa bidii sana.
Katika shule huwa na mashindano ya wanafunzi ili waweze kumpata wa kwanza kati yao. Mitihani hutungwa na walimu wenyewe. Huwa na mtihani wa [[wiki]], [[mwezi]], [[robo]] [[mhula]], [[nusu]] mhula na mtihani wa mwisho.
Katika mitihani [[asilimia]] kubwa ya wanafunzi huwa na [[woga]], ndiyo maana hupewa mitihani shuleni ili waizoee.
Nchini [[Tanzania]] kuna [[mtihani wa taifa]]: mtihani huo humvusha mwanafunzi katika [[daraja]] alilopo na kwenda katika hatua nyingine (kutoka [[shule ya msingi]] kwenda [[sekondari]], kutoka sekondari kwenda [[chuo kikuu]] na hatimaye kufaulu na kutimiza malengo yako).
==Faida za mitihani==
*1) Kwanza humfanya mtu azoee kitu fulani▼
▲1) Mwanafunzi kama hajaelewa anatakiwa kuuòiza bila ya kuogopa kupigwa
▲2)Anatakiwa kuwaheshimu walimuj na wanafunzi wenzake ili ajenge upendo baina yao
▲3)Ajenge ushirikiano na wenzake katika kufanya kazi walizopewa
▲4)Kama amepewa mtihani asimsaidie/asisaidiwe maana ni kipimo cha uelewa wao
▲5)Mwanafunzi anatakiwa afanye kazi alizopewa kwa muda aliopangiwa bila kuchelewa
▲1)Kwanza humfanya mtu azoee kitu fulani
▲2)Humwondolea mwanafunzi uwoga juu ya kitu anachokifanya ,n.k
Ili tufaulu mitihani tunatakiwa tusome sana na kwa bidii juhudi kubwa sana.
{{mbegu-elimu}}
[[Jamii:Elimu]]
|