Nyimbo za jadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '"""""Nyimbo za jadi"""""" ni nyimbo zinazoimbwa na kabila fulani kama sehemu ya utamaduni wao. Jamii huimba nyimbo hizo kama sehemu ya utamaduni wao lakini pi...'
 
No edit summary
Mstari 1:
"""""'''Nyimbo za jadi""""""''' ni [[nyimbo]] zinazoimbwa na [[watu]] wa [[kabila]] fulani kama sehemu ya [[utamaduni]] wao. [[Jamii]] huimba nyimbo hizo kama sehemu ya utamaduni wao lakini pia huwaburudisha kutokana na staili zao za [[uchezaji]] na hata [[uimbaji]] pia. Nyimbo za asili zina umuhimu mkubwa katika [[maisha]] kwani humfanya mtu afurahie kwa kuwa katika kabila lenye nyimbo nzuri na za kuvutia.
 
Jamii huimba nyimbo hizo kama sehemu ya utamaduni wao lakini pia huwabuludisha kutokana na staili zao za uchezaji na hata uimbaji pia.
MfanoKwa hapamfano [[Tanzania]] kuna makabila yanayoazimishayanayoadhimisha na kuimba nyimbo hizo ,mfano makabila hayo ni: [[wamakonde waWamakonde]] huimba [[sindimba]], [[,wapogoro waoWapogoro]] huimba [[sangura]] n.k. Makabila mbalimbali huimba nyimbo hizo kwa lengo la kuburudika, kufurahia, jambo n.k.
 
=FAIDA YA KUIMBA NYIMBO ZA ASILI=
==Faida ya kuimba nyimbo za asili==
*1)Kuburudisha jamii
*1) Kuburudisha jamii
*2) Kudumisha utamaduni wa jamii husika
*3) Ni [[utambulisho]] wa jamii na [[taifa]] ambapo mtu huweza kumtambua kutokana na anavyoimba
*4)Huelimisha Kuelimisha jamii
*5)Hutumika Kutumika katika kuwaenzi viongozi wao
*6)kutoalea Kutolea mafunzo kwa wengine
 
==NYIMBOZA ASILI HUIMBWA WAKATI WA:
==Lini nyimbo za asili zinapoimbwa==
*1)Wakati wa kuwakalibisha wageni
*21) Wakati wa sherehe za [[unyagokuwakaribisha nawageni jando]]
*2) Wakati wa [[sherehe]] za [[unyago]] na [[jando]]
*3)Wakati ambapo watu wanapooana
*3) Wakati watu wanapooana
*4) Wakati wa [[kazi]] na baada ya kazi ili kufanya kazi imalizike kwa urahisi
Nyimbo za asli zina umuhimu mkubwa sana katika maisha yetu kwani humfanya mtu afurahie kwa kuwa katika kabila lenye nyimbo nzuri na zkuvutia.
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Nyimbo]]
[[Jamii:Utamaduni]]