Kemikali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Orange potassium dichromate '''Kemikali''' ni dawa inayo sababisha kitu kubadilika kikemia. Kwa mfano, maji ni uwiano...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:36, 16 Septemba 2017

Orange potassium dichromate Kemikali ni dawa inayo sababisha kitu kubadilika kikemia.

Kwa mfano, maji ni uwiano wa hidrojeni na oksijeni ikiwa yalitoka mtoni au ulifanywa katika maabara. Dutu za kiemikali zinazopatikana nyumbani hujumuisha maji, chumvi na bleach.