Kisu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Paring Knife.jpg|230px|right|thumb|Kisu cha jikoni]]
[[Picha:Fischschwanzdolche.jpg|250px|thumbnail|Visu vya mawe (zama za mawe ya mwisho)]]
'''Kisu''' (''uwingimaana yake "msu mdogo"; wingi:'' visu) ni [[kifaa]] cha kukata chenye bapa ambalo ni kali angalau upande moja. Kwa kawaida kuna sehemu [[mbili]]: bapa kali na [[shikilio]]. Siku hizi bapa imetengenezwa kwa [[metali]] na shikilio la [[ubao]] au [[plastiki]].
 
==Historia ya kisu==
Visu vimepatikana tangu miaka [[lakhi]]: ni kati ya vifaa vya kwanza vilivyotengenzwa na [[binadamu]] tangu [[zama za mawe]]. Chanzo kilikuwa katika [[mawe]] yaliyovunjwayaliyochongwa ili kupata [[kona]] kali kwa shughuli za kukatakata. Katika mwendo wa zama za mawe uwezo wa binadamu uliongezeka na shoka za mkononi za awali ziliweza kutengenezwa nyembamba zaidi hadi kufikia bapa la jiwe kamili.
 
Katika mwendo wa zama za mawe [[uwezo]] wa binadamu uliongezeka na [[shoka]] za [[Mkono|mkononi]] za awali ziliweza kutengenezwa nyembamba zaidi hadi kufikia bapa la jiwe kamili.
Tangu kupatikana kwa [[bronzi]] visu vilitengenezwa zaidi kwa [[metali]]. Leo hii visu vingi vina bapa ya [[feleji]]. Siku hizi kua pia visu vya bapa za ufinyanzi wa seramiki.
 
Tangu kupatikana kwa [[bronzi]] visu vilitengenezwa zaidi kwa [[metali]]. Leo hii visu vingi vina bapa ya [[feleji]]. Siku hizi kua pia visu vya bapa za [[ufinyanzi]] wa seramiki.
 
[[Picha:Swiss army knife open 20050612 (cropped).jpg|thumbnail|Kisu mashuhuri cha [[jeshi]] la [[Uswisi]] kinaunganisha vifaa vingi ndani yake]]
== Aina za visu ==
* '''visuVisu vya jikoni''': ni visu vinavyotumiwa na mpishi. Ni visu vikali vinavyofaa kukata haraka mboga na nyama itakayopikwa. Kuna visu vodogo pia visu virefu.
 
* '''Visu vya meza''': Visu hivi vinawekwa kando la sahani kwa kila mtu kwa matumizi ya kukata chakula mezani. Ilhali chakula kimeshapikwa tayari si muhimu ya kwamba visu hivi ni vikali sana.
 
* '''Visu vya mwindaji''' ni visu vikubwa na vikali vinavyohitajika kukata ngozi ya wanyama na kupasua windo.
* '''Visu vya mvuwi'mvuvi'' vinahitaji ncha kali maana vinatumwa kufungua na kusafisha samaki aliyekamatwa.
 
* '''Visu vya mjenzi''' ni visu vya pekee kwa matumizi ya kukata vifaa vya ujenzi kama vile karatasi na mapipa ya plastiki na kadhalika
 
*' ''Visu vya mwanajeshi''' ni visu vinavyokusudiwa kama silaha
 
*' ''Visu vya mfukoni''' ni visu vinavyoweza kukunjwa na kutunzwa kwenye mfuko wa suruali bila hatari.
 
== Kisu na sheria ==
Nchi malimbali hwahuwa na [[sheria]] zinazopiga marufuku aina kadhaa za visu. HapaHapo kuna [[kanuni]] kuhusu [[urefu]] wa bapa ambayo mtu anaruhusiwa kubeba. Kanuni nyingine zinakataza visu ambavyo havionyeshi bapa hadi kubonyeza sehemu ya kisu na bapa inatokea kwa ghafla.
 
 
[[Category:Vifaa]]