Skauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Removing Alama.png, it has been deleted from Commons by Christian Ferrer because: Mass deletion of copyrighted or other inappropriate content -.
Mstari 1:
[[File:Leaders welcoming boy into Mexico Scouting.jpg|thumb|Viongozi wakipokea mtoto katika chama cha skauti huko [[Mexico City]], [[Mexico]].]]
'''Skauti''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "scout") ni [[mtoto]] au [[kijana]] anayewajibika katika [[chama]] cha kimataifa, akivaa [[sare]] kama ya [[askari]] mdogo na kukaa katika safu.
 
[[Picha:Alama.png|thumb|chama cha skauti duniani]]
Pia ni chama kisicho cha [[Serikali|kiserikali]] kinachomjenga kijana katika [[maadili]] mema kisichobagua kwa msingi wa [[jinsia]], [[umri]], [[dini]], [[rangi]] wala [[kabila]].