Katografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Katografia|thumb|252x252px|Katografia '''Katografia''' ni elimu ya kutengeneza ramani. Ni sehemu ya jiog...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Pyrenees topographic map-fr.svg|alt=Katografia|thumb|252x252px|Katografia]]
'''Katografia''' ni [[elimu]] ya kutengeneza [[ramani]]. Ni sehemu ya [[jiografia]]. Jinsi [[watu]] wanavyotengeneza [[ramani]] inabadilika kila wakati. Huko nyuma, ramani ilikuwa inatolewa kwa mkono, lakini leo zaidi ramani inachapishwa kwa kutumia [[kompyuta]]. Mtu ambaye hufanya ramani huitwa [[mchoraji]] wa ramani.
 
Jinsi [[watu]] wanavyotengeneza [[ramani]] inabadilika kila wakati. Huko nyuma, ramani ilikuwa inatolewa kwa [[mkono]], lakini leo zaidi ramani inachapishwa kwa kutumia [[kompyuta]].
Kutengeneza ramani inaweza kuwa rahisi kama kuchora mwelekeo kwenye [[leso]], au mgumu kama kuonyesha [[sensa]] ya [[nchi]] nzima. Mtu yeyote anaweza kutengeneza ramani, lakini kuna watu ambao hutumia maisha yao kujifunza jinsi ya kutengeneza ramani ngumu.
 
Kutengeneza ramani inaweza kuwa rahisi kama kuchora mwelekeo kwenye [[leso]], au mgumu kama kuonyesha [[sensa]] ya [[nchi]] nzima. Mtu yeyote anaweza kutengeneza ramani, lakini kuna watu ambao hutumia [[maisha]] yao kujifunza jinsi ya kutengeneza ramani ngumu.
Kwa karne nyingi ramani zilikuwa zikitolewa kwenye [[karatasi]]. Siku hizi ni ramani hufanywa katika kompyuta ambayo huwafanya mounekano wa ramani kuwa sahihi.
 
Kwa [[karne]] nyingi ramani zilikuwa zikitolewa kwenye [[karatasi]]. Siku hizi ni ramani hufanywa katika kompyuta ambayo huwafanya mounekanomwonekano wa ramani kuwa sahihi.
{{mbegu}}
 
{{mbegu-elimu}}
 
[[Jamii:Jiografia]]