Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 50:
Kundinyota zimekuwa muhimu kwa ajili ya [[unajimu]]. Ni hasa kundinyota 12 za [[Zodiaki]] zinazodaiwa kuwa muhimu na kutawala tabia za watu kwenye [[horoskopi]]. Waswahili wa kale walirithi kundinyota hizi kutoka elimu ya Waarabu na kuziita [[buruji za falaki]]<ref>[https://archive.org/stream/EncyclopaediaDictionaryIslamMuslimWorldEtcGibbKramerScholars.13/08.EncycIslam.NewEdPrepNumLeadOrient.EdEdComCon.BosDonLewPel.etc.UndPatIUA.v8.Ned-Sam.Leid.EJBrill.1995.#page/n115/mode/2up/search/NUDJUM J Knappert, fungu "In East Africa", makala AL-NUDJUM katika THE ENCYCLOPAEDIA OF ISLAM, LEIDEN BRILL 1997, VOLUME VIII NED — SAM, uk 105]</ref>
 
*[[Hamali (kundinyota)|Hamali (pia: Kondoo)]] ([[ing.]] [[:en:Aries|Aries]])
*[[Tauri (kundinyota)|Tauri (pia: Ng'ombe)]] (ing. [[:en:Taurus|Taurus]])
*[[Jauza (kundinyota)|Jauza (pia: Mapacha)]] (ing. [[:en:Gemini|Gemini]])
*[[Saratani (kundinyota)|Saratani (pia: Kaa)]] (ing. [[:en:Cancer|Cancer]])
*[[Asadi (kundinyota)|Asadi (pia: Leo)]] (ing. [[:en:Leo|Leo]])
*[[Nadhifa (kundinyota)|Nadhifa (pia: Mashuke)]] (ing. [[:en:Virgo|Virgo]])
*[[Mizani (kundinyota)|Mizani]] (ing. [[:en:Libra|Libra]])
*[[Akarabu (kundinyota)|Akarabu (pia: Nge)]] (ing. [[:en:Scorpio|Scorpio]])
*[[Kausi (kundinyota)|Kausi (pia: Mshale)]] (ing. [[:en:Sagittarius|Sagittarius]])
*[[Jadi (kundinyota)|Jadi (pia: Mbuzi)]] (ing. [[:en:Capricornis|Capricornus]])
*[[Dalu (kundinyota)|Dalu (pia: Ndoo)]] (ing. [[:en:Aquarius|Aquarius]])
*[[Hutu (kundinyota)|Hutu (pia: Samaki)]] (ing. [[:en:Pisces|Pisces]])
 
Katika unajimu wa siku hizi majina mengi ya kimapokeo yamesahauliwa katika unajimu wa Afrika ya Mashariki na badala yake wapiga falaki wanatumia orodha ya majina ambayo mara nyingi ni tafsiri ya majina ya Kiingereza tu au pia namna ya kutaja alama ya kundinyota kwa neno la Kiswahili. Isipokuwa Mizani na Mashuke bado ni majina asilia. Majina katika unajimu wa kisasa jinsi yalivyo kawaida ni yafuatayo: