Njia ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ekliptiki''' ni mstari wa kudhaniwa kwenye anga la Dunia ambako Jua linapita mbele ya nyota katika muda wa mwaka mmoja. Haionekani kirahi...'
 
Mstari 4:
Lakini wakati wa mapambazuko na machweo nyota zinaanza kuonekana tukitambua ni karibu na nyota gani ya kwamba jua linapambazuka na kuchwa.
 
Tukiangalia tena nyota zilizopo angani karibu na sehemu ya kuchwa anganibaada ya wiki 4 tunaona kumbe zimekuwa tofauti. Nyota hizi katika sehemu ambako Jua linatokea au kupotea kwa macho ya mtazamaji zinabadilika mwezi kwa mwezi lakini baada ya mwaka moja ni tena nyota zilezile.
 
==Zodiaki au mzingo wa mwaka==