Saruji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Hukorogwa na maji kuwa na hali kati ya ujiuji baada ya muda inaanza kuganda na kuwa imara kama jiwe.
 
Saruji imekuwa muhimu sana katika shughuli za [[ujenzi]]. Awali ilitumiwa kwa kushika mawe au matofarimatofali waya ukuta vikae pamoja.
 
Baadaye imegunduliwaikagunduliwa ya kwamba saruji ikichanganywa na mchanga kuwa [[zege]] inaweza kumwagwa kati ya bao mbili na kuwa imara ndani yao. Kwa njia hiyo imewezekana kujenga haraka sana kwa kumwaga mchanganyiko wa zege ya saruji katika nafasi zilizoandaliwa awali. Hapa vyuma vinaingizwa ndani ya ukuta au sakafu ya saruji kwa kusudi la kuongeza uimara.
 
{{commonscat|Cement}}