Metali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hot metalwork.jpg|thumb|250px|Chuma ya moto ikifuliwa na [[mhunzi]].]]
'''Metali''' ([[ing.]] [[:en:metal|metal]]) ni kundi la [[elementi]] zenye tabia za pamoja kama vile
* zapitisha umeme kirahisi
* zapitisha joto
Mstari 39:
* [[Bronzi]] ([[kupri]] na [[stani]])
* [[Duralumin]] ([[alumini]] na [[kupri]])
 
==Tabia ya kimetali za nyota==
Katika fani ya [[astronomia]] jina "metali" hutumiwa kwa maana tofauti. Hapa [[nyota]] ina [[tabia ya kimetali]] (''[[:en:metallicity|metallicity]]'') kama ina elementi ndani yake ambazo ni nzito kuliko [[hidrojeni]] na [[heli]]. Wakati mwingine wanaangalia tu elementi nzito kuliko [[kaboni]] katika makadirio ya "tabia ya kimetali".
 
{{mbegu-sayansi}}