Redio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:SABA Radiogeraet.jpg|thumb|right|200px|Redio mnamo 1950]]
[[Image:Radio.jpg|thumb|right|200px|Redio mnamo 2000]]
Rungoya'''Redio''' (au redio'''rungoya''') ni chombo (kifaa) kinachopokea [[mawasiliano]] kutoka katika kituo cha redio na kuyabadilisha kuwa [[sauti]].
 
Kwa kawaida rungoya inapokea kwa njia ya [[antena]] yake [[mawimbi sumakuumeme]] yanayosambazwa na antena ya kituo cha rungoya. Kuna pia aina za rungoya ambako mawasiliano hufika kwa umbo la alama za umeme katika waya. Mawasiliano ya sumakuumeme yanasambazwa pia kwa njia ya chomboanga au satelaiti lakini njia hii inahitaji vyombo maalumu na antena ya kawaida haitoshi.
 
==Historia==
[[Mwaka]] [[1886]] [[Mjerumani]] [[Heinrich Hertz]] alitambua mawimbi ya sumakuumeme. Wataalamu na muhandisi mbalimbali walifanya majaribio katika miaka iliyofuata kutumia mawimbi haya kwa mawasiliano, kati yao Mwitalia [[Guglielmo Marconi]], Mmarekani [[Nikola Tesla]] na Mrusi [[Alexander Popov]]. Kila mmoja ametajwa kama "mtu wa kwanza aliyegundua rungoya".
 
Kituo cha kwanza cha rungoya kilianzishwa na Mholanzi [[Hanso Schotanus]] à Steringa Idzerda tar.[[tarehe]] [[6 Novemba]] [[1919]] aliposambaza [[muziki]] kutoka nyumba yake. Kituo cha kwanza cha kibiashara kilianza kazi mwaka [[1920]] [[Marekani]] mjini [[Pittsburgh]].
 
Katika miaka iliyofuata redio ilisambaa kote [[duniani]]. Ni njia muhimu ya kusambaza habari pamoja na [[utamaduni]], hasa muziki.
 
== Matumizi ya redio ==
Hapo zamani, redio zilitumika na wabahariamabaharia kwa kutuma jumbe toka chombo majini hadi kwa ardhinchi kavu kwa kutumia kodi za Morsi ([[:en:Morse_code|Morse code]]). Wakati chombo kilichojulikana kama Titanic kilikuwa kinazama mwakanimwaka 1912, jumbe zilitumwa kutoka kwa wabahariamabaharia waliokuwa kwenye chombo hicho hadi kwa vyombo vilivyokuwa karibu.
 
Wanajeshi pia walitumia redio kutuma jumbe na kuwasiliana na makao yao makuu.
 
Kwa leoLeo, redio hutumika kwa mawasiliano, matangazo na muziki. Kabla ya uvumbuzi wa televisheni, redio zilitumika kwa uigizaji na vichekesho. Redio za leo zinatumia wavu za dijitali na huweza kushika wavu kwa urahisi zaidi.

Pia kuna redio za kushikwa kwa mikono yaani [<ref>https://www.whollyoutdoor.com/best-handheld-ham-radio/ hand held ham radio]</ref>.{{mbegu-sayansi}}
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
{{tech-stub}}
 
[[Category:Redio|!]]