Luteni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuanzisha ukurasa wa luteni
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Luteni''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Lieutenant''), pia '''Luteni wa Kwanza''', ni cheo cha [[afisa]] wa [[jeshi]] kilicho chini ya [[Kapteni]] na juu ya [[Luteni wa Pili]].
 
Asili ya neno ni [[Kifaransa]] "''lieu-tenant''" (mwenye kushika nafasi) kwa maana ya naibu, makamu. Kiasili lieu-tenant alikuwa makamu wa kapteni yaani mkuu wa kikosi aliyeshika mamlaka yake wakati hayuko. Maana hii ni pia asili ya vyeo vya [[Luteni Kanali]] au [[Luteni Jenerali]] vilivyotaja manaibu wa kanali au jenerali. Baadaye ziliendelea kuwa vyeo vya pekee bila kuunganishwa na nafasi ya makamu tena.
 
 
 
{{Mbegu}}