Jiometri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Triangle.Right.svg|thumbnail|Jiometria inajulisha ukubwa kwawa pembetatu.]]
'''Jiometri''' (pia: '''Jiometria''', kutoka [[neno]] la [[Kigiriki]] γεωμετρία, ''geometria'';, linaloundwa na geo- "[[dunia]]", na -metron "[[kipimo]]", kwa kupitia [[Kiingereza]] ''geometry'') ni aina[[tawi]] yala [[hisabati]] inayochunguzalinalochunguza [[ukubwa]], [[mjao]], [[umbo]] na mahali pa [[eneo]] au [[gimba]]. [[Tawi]] la jiometri linalochunguza [[pembetatu]] hasa huitwa [[trigonometria]].
 
[[Tawi]] la jiometri linalochunguza [[pembetatu]] hasa huitwa [[trigonometria]].
Ma[[umbo]] huwa na [[wanda]] (dimensioni) [[mbili]] yakiwa bapa, au wanda tatu kama ni gimba. Kwa mfano [[mraba]], [[pembetatu]] na [[duara]] ni bapa na kuwa na wanda 2 za [[upana]] na [[urefu]]. Kumbe [[tufe]] (kama [[mpira]]) au [[mchemraba]] huwa na wanda 3 za upana, urefu na [[kimo]] (urefu kwenda juu).
 
Ma[[umbo]]Maumbo huwa na [[wanda|nyanda]] (dimensioni) [[mbili]] yakiwa bapa, au wanda [[tatu]] kama ni gimba. Kwa mfano [[mraba]], [[pembetatu]] na [[duara]] ni bapa na kuwa na wandanyanda 2 za [[upana]] na [[urefu]]. Kumbe [[tufe]] (kama [[mpira]]) au [[mchemraba]] huwa na wandanyanda 3 za upana, urefu na [[kimo]] (urefu kwenda juu).
 
== Jiometri za kitambo ==
Maumbo ya jiometri yalionekana kwanza nchini Mesopotami[[Mesopotamia]] na [[Misri]] katika [[milenia]] ya pili [[Baada ya Kristo|baada ya]] [[Yesu Kristo kufa]]. Maumbo haya yalikuwa na urefu, uwanda ambazo zilitumika katika kupima [[ardhi]] na kuzuru [[sayari]] zinginenyingine.
 
== Matumizi ==
Jiometri hutumiwa kupima eneo na [[mzingo (jiometria)|mzingo]] wa [[umbo bapa]]. Inaweza kupima pia [[mjao]] na eneo la uso wa gimba.
 
Katika [[maisha]] ya kila [[siku]] jiometri inasaidia kujua vipimo vya vitu vingi kama vile:
* eneo wa uso wa [[chumba]] na hivyo kuamua kiasi cha [[rangi]] inayohitajikakinachohitajika kwa kupaka rangi [[Ukuta|kuta]] zote.
* [[Mjao]] wa [[chombo]] ili kujua kuna [[lita]] ngapi za [[maji]] ndani yake.
* Eneo la [[shamba]] linalotakiwa kugawiwa kati ya watu.
* Urefu wa [[mzingo]] wa [[bwawa]] ili kujua tunahitaji kununua [[mita]] ngapi za [[fensi]] tukitaka kuifunga.
 
== Historia ==
[[Chanzo]] cha jiometri kilikuwa [[elimu]] ya kupima ukubwa wa eneo fulani, kwa mfano eneo la [[Shamba|mashamba]] ya [[kijiji]] kwa kusudi la kuligawa kati ya [[watu]] wake.
 
[[Mtaalamu]] wa [[Ugiriki ya Kale]] aliyeitwa [[Euklides]] alitunga [[kitabu]] cha kwanza kinachofahamika kuhusu jiometri.
==Viungo vya nje==
{{commonscat|geometry}}
{{commonscat|geometry}}*https://en.wikipedia.org/wiki/Geometry
*[https://essayvikings.com essayvikings.com]
{{mbegu-hisabati}}
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|geometry}}https://en.wikipedia.org/wiki/Geometry
 
[https://essayvikings.com essayvikings.com]
[[Jamii:Jiometria|*]]
[[Jamii:Hisabati]]