Pombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Whisky bottles 2005.jpg|thumb|[[Chupa]] za pombe kali aina ya Whisky.]]
'''Pombe''' ni [[kinywaji]] kikali chenye [[kileo]] ambacho upitilizaji wa unywaji wake hupelekea hali ya kulewa na hatimaye [[tabia]] ya [[ulevi]] inayoleta madhara mengi kwa wahusika na kwa [[jamii]]. Katika kemia, pombe ni mwambatanisho wa viungo asilia ambapo sehemu ya hydroxyl (-OH) group imeambatanishwa na kaboni.
[[Picha:Alcohol general.jpg|thumb|Mfumo wa pombe katika kemia]]
 
== Historia ya pombe ==
Kulingana na wanahistoria Donald Hill na Ahmad Y Al Hassan, utengenezaji wa pombe ulikuwa unajulikana na jamii ya Waislamu hata katika karne ya kumi na nane. Watu wa Persian Rhazes ndio wanakisiwa kama waliovumbua pombe aina ya ethanol.
 
== Matumizi ya pombe ==
Pombe hutumika sana sana kama kileo
 
Pombe humwagiliwa kwa mgonjwa ili kumfanya afe ganzi wakati wa operesheni
 
Hutumika kusafisha vidonda
 
Pombe huweza kutumika kwa kusafisha vidonda.
 
== Madhara ya pombe ==
Ulevi wa pombe husababisha maafa mengi haswa unapokunywa kupindukia. Huenda ukasababisha ajali na ndio maana sheria za nchi nyingi kama vile [https://detoxofsouthflorida.com/locations/miami/ Miami] zakataza uendeshaji wa gari unapokuwa mlevi. Unywaji wa pombe pia waweza kufanya mtu awe mzinifu bila hata kutumia kinga.
 
Unywaji wa pombe umesababisha kusaratika kwa familia nyingi maana watu hawasikizani.
 
Pombe pia hufanya maini kuwa na kazi ngumu na huenda ikaleta shida ya liver cirrhosis.
 
== Viungo vya Nje ==
[https://sites.google.com/site/chemistryolp/uses-of-alcohol Uses of Alcohol]
 
https://en.wikipedia.org/wiki/Alcohol
 
{{mbegu-utamaduni}}