Galileo Galilei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 22:
 
== Kesi ya Kanisa dhidi yake ==
[[Picha:Galileo Galilei01.jpg|thumb|right|[[Sanamu]] ya Galileo Galilei kwenye [[kaburi]] lake ndani ya [[Kanisa]] la Msalaba Mtakatifu mjini [[Firenze]], [[Italia]]]]Matokeo ya utafiti wa Galilei yalipinga hoja la awali lililofundishwa na wataalamu wa [[Ugiriki ya Kale]] na kukubaliwa katika [[Kanisa Katoliki]]. Kwa Galilei ilikuwa wazi ya kwamba dunia yetu si kitovu cha ulimwengu tena aliamini lilikuwa jua badalani kitovu yakechake na kwamba [[Nikolaus Kopernikus]] pamoja na [[Johannes Kepler‎]] waliwahi kusema ukweli. HivyoMwanzoni Papa Urban VIII (aliyefuatilia majadiliano ya wataalamu kuhusu elimu ya nyota kwa karibu) alimpa Galilei alishtakiwamoyo kuandika kuhusu nadharia ya Koperniko lakini alimwonya kutoionyesha kama ukweli bali kama nadharia mojawapo. Katika majadiliano na wapinzani mbalimbali Galilei alisogea mbele na kutetea mfumo wajua kuwa kitovu cha ulimwengu na kukosoa maoni ya kinyume. Sasa mafundisho yakeya Galilei yalipingwa kwenye msingi wa mafundisho ya kidini na kisayansi. Wengine waliona yalipinga [[Biblia]] na [[imani]]. Wengine walifuata wataalamu kama [[Tycho Brahe]] walioona ya kwamba Galilei hakuweza kueleza vipimo vingi (jinsi vilivyowezekana wakati ule) na hivyi kukosa msingi wa kutangaza ukweli mpya.
 
Katika kesi alionywa asisemeasitangaze maoni yake mapya ni ukweli badala yake alitakiwa kusema ni uwezekano tu. Sehemu ya vitabu vyake vilipigwa marufuku na mwenyewe aliambiwaalihukumiwa kukaa ndani ya nyumba yake asitoe tena mafundisho mapya.
 
Mwaka 1992 [[Papa Yohane Paulo II]] alisema kuhusu kesi dhidi ya Galilei:
« Kama wapinzani wake walio wengi, Galileo hakutofautisha mtazamo wa sayansi kuhusu mambo ya kimaumbile na fikra za kifalsafa juu ya maumbile ambazo kwa kawaida zinadaiwa nao. Ndiyo sababu alikataa pendekezo alilopewa la kuita 'dhana' mafundisho ya Kopernicus, hadi yathibitishwe moja kwa moja, ingawa hilo lilikuwa sharti la mbinu ya majaribio aliyoibuni mwenyewe kwa akili kubwa. [...] Kumbe, suala walilojiuliza wanateolojia wa wakati huo lilikuwa lile la ulinganifu wa mafundisho ya jua kuwa kiini cha ulimwengu na Maandiko Matakatifu. Hivyo sayansi mpya, kwa mbinu zake na uhuru wa ukufanya utafiti unaodaiwa nazo, ililazimisha wanateolojia kujiuliza juu ya vigezo vyao vya kufafanulia Maandiko. Wengi wao wakashindwa kufanya hivyo. Ajabu, Galileo, mwamini mnyofu, alijitokeza anaelewa kuliko wanateolojia waliompinga kuhusu jambo hilo. » (Yohane Paulo II kwa wanasayansi wa Akademia ya Kipapa ya Sayansi, 31 Oktoba 1992)
 
==Viungo vya Nje==