Galileo Galilei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Kesi ya Kanisa dhidi yake: masahihisho kadhaa
Mstari 24:
[[Picha:Galileo Galilei01.jpg|thumb|right|[[Sanamu]] ya Galileo Galilei kwenye [[kaburi]] lake ndani ya [[Kanisa]] la Msalaba Mtakatifu mjini [[Firenze]], [[Italia]]]]Matokeo ya utafiti wa Galilei yalipinga hoja la awali lililofundishwa na wataalamu wa [[Ugiriki ya Kale]] na kukubaliwa katika [[Kanisa Katoliki]]. Kwa Galilei ilikuwa wazi ya kwamba dunia yetu si kitovu cha ulimwengu tena aliamini jua ni kitovu chake na kwamba [[Nikolaus Kopernikus]] pamoja na [[Johannes Kepler‎]] waliwahi kusema ukweli. Mwanzoni Papa Urban VIII (aliyefuatilia majadiliano ya wataalamu kuhusu elimu ya nyota kwa karibu) alimpa Galilei moyo kuandika kuhusu nadharia ya Koperniko lakini alimwonya kutoionyesha kama ukweli bali kama nadharia mojawapo. Katika majadiliano na wapinzani mbalimbali Galilei alisogea mbele na kutetea mfumo wajua kuwa kitovu cha ulimwengu na kukosoa maoni ya kinyume. Sasa mafundisho ya Galilei yalipingwa kwenye msingi wa mafundisho ya kidini na kisayansi. Wengine waliona yalipinga [[Biblia]] na [[imani]]. Wengine walifuata wataalamu kama [[Tycho Brahe]] walioona ya kwamba Galilei hakuweza kueleza vipimo vingi (jinsi vilivyowezekana wakati ule) na hivyi kukosa msingi wa kutangaza ukweli mpya.
 
Katika kesi mbele ya mahakama ya kanisa alionywa asitangaze maoni yake mapya ni ukweli badala yake alitakiwa kusema ni uwezekano tu. Sehemu ya vitabu vyake vilipigwa marufuku na mwenyewe alihukumiwaaliambiwa kukaa ndani ya nyumba yake asitoe tena mafundisho mapya.
 
Mwaka 1992 [[Papa Yohane Paulo II]] alisema kuhusu kesi dhidi ya Galilei: