Madawa ya kulevya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Psychoactive_Drugs_Legend.jpg|thumb|right|300px|Aina mbalimbali ya madawa ya kulevya]]
'''Madawa ya kulevya''' ni [[hatari]] sana kwa [[binadamu]] kwa kuwa husababisha [[Ugonjwa|magonjwa]] kama [[mapafu]] na kuharibu [[utindio wa ubongo]].
Line 12 ⟶ 11:
== Ulevi wa madawa ya kulevya ==
Utumizi wa madawa ya kulevya hufanya
Pia utumizi huu
[[Wanawake]] [[mjamzito|wajawazito]] wanapovuta au kutumia bangi huenda wakaavya [[mimba]] bila kukusudia, [[mtoto]] kuwa hajakomaa vizuri hata wakati wa kuzaliwa.
== Udhibiti wa madawa ya kulevya ==
[[Serikali]] za nchi nyingi zimedhibiti au hata kupiga marufuku utumiaji wa madawa ya kulevya. Mwakani [[1960]], kulikuwa na udhibiti wa upanzi wa bangi wa kimataifa.
Nchi
== Matibabu baada ya uraibu wa madawa ya kulevya ==
Walioathirika na utumizi wa madawa ya kulevya huweza kunasuliwa kutoka [[uraibu]] ule katika
== Viungo vya
* [http://www.who.int/substance_abuse/publications/en/Neuroscience_E.pdf Kuhusu madawa ya kulevya kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO)]
* [https://www.wikihow.com/Beat-Drug-Addiction Jinsi ya kuacha kutumia madawa ya kulevya]
{{mbegu-tiba}}
Line 37 ⟶ 33:
[[Jamii:Afya]]
[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Madawa ya Kulevya]]
|