Usimbishaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 11:
 
== Kufanya mvua kwa mitambo ==
Watu wameanza kufanya mvua kwa kukamua mawingu. Hapa punje ndogo za iodidi ya fedha zinatupwa mawinguni kwa njia ya [[ndege]] au ma[[kombora]]. zinazokuwaPunje hizi zinakuwa viini vya kutonesha mvuke na kusababisha matone kukua hadi mvua kunyesha.
 
Teknolojia hii inatumika katika maeneo makavu. Yanatumika pia katika maeneo ya kilimo ili kuzuia mvua mawe isiharibu mavuno.