Mswaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 15:
 
==Sayansi inasemaje==
[[World Health Organization]] (kifupi WHO, yaani [[IdaraShirika yala Afya Duniani]] chini ya [[Umoja wa Mataifa]]) ilihamasisha matumizi ya mswaki [[mwaka]] 1986.
 
Mwaka [[2000]] [[ripoti]] ya kimataifa kuhusu [[usafi wa kinywa]] ilionyesha makubaliano ya kwamba unahitajika [[utafiti]] zaidi kuthibitisha faida ya mswaki.<ref>[http://www.uib.no/info/dr_grad/2003/darout.htm Undersøkelse av en aktuell eldgammel munnrengjøringsmetode]</ref>
 
Siku hizi watu wengi hutumia miswaki ya kisasa iliyotengenezwa [[Kiwanda|kiwandani]] yenye shikamano, kichwa na nywele ngumu, kwa kawaida yote ya [[plastiki]], pamoja na [[dawa ya meno]]. [[Utafiti]] wa mwaka [[2003]] ulionyesha kwamba matumizi sahihi ya mswaki asili yalikuwa na manufaa kuliko miswaki ya kisasa.<ref>{{cite journal | author = Al-Otaibi M, Al-Harthy M, Soder B, Gustafsson A, Angmar-Mansson B. | year = 2003 | title = Comparative effect of chewing sticks and toothbrushing on plaque removal and gingival health. | journal = Oral Health Prev Dent | volume = 1 | issue = 4 | pages = 301–7 | pmid = 15643758}}</ref> Hata hivyo, utafiti uliishia kupima watu 15 tu, idadi isiyotosha kabisa kama uthibitisho wa kisayansi.
 
==Matumizi==