Mmomonyoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
Maji ni kati ya nguvu kuu za mmomonyoko. Mwendo wa maji unasukuma sehemu ndogo za ardhi na kuzipeleka mbali kabisa. Hata vipande vya mwamba vinaweza kukatwa hasa kwa mawe madogo yanayorushwa na maji dhidi ya miamba mikubwa.
 
Mwendo wa '''maji ya mito''' unaweza kuchimba mabonde makubwa. Ukali wake unategemea na kiasi cha maji, kasi yake na aina ya ardhi, kama ina mtelemko mkubwa au kama maji yamepita kwenye ardhi au juu ya miamba. Kama mtelemko ni mkubwa na ardhi ni laini ni rahisi kwa maji kukata bonde ndefurefu na kubwa.
 
Hata mtelemko wa [[mvua]] unaleta mmomonyoko. Matone yenyewe hugongagonga sehemu ndogo za ardhi na kuzibeba kidogo jinsi inavyoonekana vizuri baada ya mvua kwenye eneo penye mchanga.