Kazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18:
 
==Kazi katika Biblia==
[[Biblia]] inazungumzia maisha halisi ya watu, hivyo haikuweza kuisahau kazi. Toka [[kitabu cha Mwanzo]] (1:1-2:4a) inaonyesha [[heshima]] ya kufanya kazi kwa kumchora [[Mungu]] akitenda kazi kama binadamu kwa [[siku]] [[sita]], akipumzika ile ya [[saba]].
 
Ndiye aliyewaagiza [[Adamu]] na [[Eva]] wafanye kazi katika [[dunia]] ili kuistawisha ([[Mwa]] 2:15).
 
Baada ya [[dhambi ya asili]] waliyoifanya wajibu huo umebaki, ila kama [[adhabu]] sasa unachosha (Mwa 3:17-19).
 
Pamoja na hayo, [[Yesu]] alikubali kufanya kazi kwa [[mikono]] yake kama [[fundi]] (labda [[seremala]]) kwa sehemu kubwa kabisa ya maisha yake, alipoishi na [[familia]] yake au walau [[mama]] yake [[Kijiji|kijijini]] [[Nazareti]] ([[Mk]] 6:3).
 
[[Mtume Paulo]] alipinga kwa nguvu [[uzembe]] wa waliodai kazi haihitajiki tena kwa sababu eti, [[ufalme wa Mungu]] umefika. Alisema, "Asiyetaka kufanya kazi, asile chakula". <ref name="www.biblegateway.com">{{cite web|url=https://www.biblegateway.com/verse/en/2%20Thessalonians%203%3A10|title=Aya kuhusu kazi}}</ref> Mwenyewe, pamoja na kuhubiri [[Injili]] alikuwa akiendelea na kazi yake ya [[Ushonaji|kushona]] [[hema|mahema]] ili kupata mahitaji yake bila kulemea wengine.
 
[[Mtume Paulo]] alipinga kwa nguvu [[uzembe]] wa waliodai kazi haihitajiki tena kwa sababu eti, [[ufalme wa Mungu]] umefika. AlisemaAliandika, "Asiyetaka kufanya kazi, asile chakula". ([[2Thes]] 3:10). <ref name="www.biblegateway.com">{{cite web|url=https://www.biblegateway.com/verse/en/2%20Thessalonians%203%3A10|title=Aya kuhusu kazi}}</ref> Mwenyewe, pamoja na kuhubiri [[Injili]] alikuwa akiendelea na kazi yake ya [[Ushonaji|kushona]] [[hema|mahema]] ili kupata mahitaji yake bila kulemea wengine.
 
== Marejeo ==
Line 38 ⟶ 37:
*[https://getvested.io/temp-agency/direct-to-hire/] Ushauri kuhusu mtindo mpya wa kupata kazi na faida yake
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
 
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Elimu jamii]]