Zuhura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
 
== Utafiti ==
[[Warusi]] na [[Wamarekani]] walifaulu kupeleka [[vyombo vya anganivipimaanga]] mbalimbali hadi Zuhura, vingine vilipita na kupima [[hewa]], vingine vilifika kwenye sura ya sayari na kutuma [[picha]] za [[mazingira]] hadi kuharibika kutokana na joto kali.
 
Uso wa sayari umefanyiwa utafiti kwa msaada wa [[rada]] kutoka vipimaanga [[Magellan (kipimaanga)|Magellan]] na [[Pioneer-Venus]]. Kutokana na matokeo yake ramani ya kwanza ilitokea. Sehemu kubwa ya sayari ni tambarare yenye vilima na mabonde yasiyo marefu. Kutokana na joto kubwa (mnamo [[°C]] 500) hakuna maji wala bahari.
Kuna sehemu mbili ambako nyanda za juu zinapanda juu ya uwiano wa kawaida na hizi zilifananishwa na [[kontinenti]] za Dunia. Karibu na ikweta ya Zuhura iko sehemu inayoitwa "Aphrodite Terra" yenye ukubwa kama Amerika Kusini. Kwenye upande wa mashariki kuna safu za milima na mabonde makubwa pamoja na volkeno. Sehemu ya pili huitwa "Ishtar Terra" yenye ukubwa sawa na [[Australia]] kwenye Dunia. Hapa kuna milima ya Maxwell yenye urefu wa mita 10.800 juu ya uwiano wa wastani.
 
[[Picha:Venus map with labels.jpg|350px|thumb|Ramani hii ya Venus imepatikana kutokana na vipimo vya rada]]
 
{{mbegu-sayansi}}