Lilian Nabora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' ‘’’Lilian Nabora’’’ ni Mmoja wa Wanaharakati wanawake wenye ushawishi Tanzania. ==Wasifu== Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya Te...'
 
No edit summary
Mstari 1:
 
‘’’Lilian Nabora’’’ ni Mmoja wa [[Wanaharakati]] wanawake wenye ushawishi [[Tanzania]]na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.<ref>http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/2017/07/waziri-dkt-mwakyembe-awa-mgeni-rasmi.html</ref>
==Wasifu==
Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya [[Temeke]] Jijini Dar es Salaam. Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botiswana huko Brussels, akifanya kazai kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya Ofisi .
Mstari 8:
Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umasikini na ugonjwa wa UKIMWI. Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO).
==Marejeo==
<ref>http://www.fasdo.org/member/lilian-nabora April 2018</ref>. The business was registered in 2002 October <ref>https://www.youtube.com/watch?v=OO5aK1OYp5s April 2018</ref>.
 
{{Mbegu-Msanii-Afrika}}