Karibu katika ukurasa wangu!
Mimi ni mhariri na mchangiaji wa makala za Kiswahili katika Wikipedia ya kiswahili kutoka nchini Tanzania. "Njia nzuri ya kutabiri kesho yako ni kuitengeneza, na kusoma sana huuchosha mwili lakini kujifunza hakuchoshi akili"
Nikiwa katika warsha ya kamusi astronomia.
.
Katika Editorthon ya WikiLoves women, nilipata fursa ya kujifunza kuandaa Jamii na Metadata.
Katika Picha nikiwa na Mwalimu wangu Ingo Koll.
Makangabila.jpg
Nimejikita sana kukaribisha wageni na kuwapa muongozo wa wikipedia ya kiswahili. Badiliko hili ni la 1000 tangu nmeanza uandishi.
https://sw.wikipedia.org/wiki/Kigezo:Zuia_tafsiri