Content deleted Content added
Mstari 31:
 
Kusimika kunajitokeza na kupotea haraka kutegemeana na hali iliyopo. Hali hiyo inaweza kutokea bila ya mtu kutaka, kwa mfano [[usiku]] au pia [[mchana]] kati ya watu ikimfanya aone [[haya]].
 
Kukosa kusimuka inaweza kuwa ishara ya [[ukosefu wa nguvu za kiume]]. Hali hii inaweza kusababishwa na mambo mengi ikiwemo maradhi, majeraha, utumizi wa dawa za kulevya, wingi wa mafuta mwilini, shinikizo la damu, tiba ya magonjwa kama vire saratani ya tezi kibofu na mengine mengi.<ref>{{Cite web|url=https://www.mayoclinic.org/diseases-conditions/erectile-dysfunction/symptoms-causes/syc-20355776|title=Erectile dysfunction - Symptoms and causes|author=Mayo Clinic|date=|language=en-US|work=Mayo Clinic|publisher=Mayo Foundation for Medical Education and Research (MFMER)|accessdate=2018-09-26}}</ref> Ukosefu wa nguvu za kiume unaweza tibiwa kwa jia tofauti kama vile kwa kutumia dawa mbalimbali za kuongeza nguvu za kiume.<ref>{{Cite Web|url=http://www.apcalis-sx.net/generic-tadalafil-review.html|title=Generic Tadalafil – Effective Solution for Several Male Health Problems|author=Anon|date=|language=en - US|work=Apcalis SX|accessdate=2018-09-26}}</ref>
 
Upande wa [[maadili]] tusisababishe hali hiyo bila ya lengo jema, kama vile kumtibu [[mgonjwa]], kutoa [[ushauri nasaha]] au kujielimisha kuhusu [[jinsia]]. Kwa hiyo tukwepe kwa kawaida yale yote yanayoweza kusisimua, kama vile mawazo, maneno, masomo, mitazamo na vitendo mbalimbali kuhusu jinsia. Mvulana anahitaji kujifunza [[nidhamu]] ya namna hiyo.