Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{maana nyingine|Mwezi (maana)}}
[[Picha:Earth-Moon System.jpg|right|thumb|200px|[[Chombo cha angani]] [[Galileo (chombo cha anga)|Galileo]] ilipigakilipiga picha hii ya Ardhi na mwezi]]
[[Picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|right|thumb|200px|Picha maarufu sana ya dunia yetu iliyopigwa na [[mwanaanga]] Mmarekani [[Bill Anders]] wakati wa ujumbe wa [[Apollo 8]] tarehe [[24 Desemba]] [[1968]]. Apollo 8 ilikuwa mara ya kwanza chombo cha angani cha kubebea watu kushikwa na graviti ya mwezi na kuzunguka mwezi kwa ajili ya [[graviti]] hiyo. ]]
'''Mwezi''' ni [[gimba la angani]] linalozunguka [[sayari]] fulani. Kuna miezi mingi katika [[anga la nje]], lakini maarufu zaidi kwetu ni ule pekee unaozunguka [[dunia]] yetu.