Mshtarii : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 6:
== Angahewa ==
[[Uso]] wa sayari hauonekani kwa sababu [[angahewa]] nzito inafunika kila sehemu. Maada ya angahewa ni hasa [[hidrojeni]] na [[heli]]. Kutokana na uzito wa angahewa [[
Doa jekundu linaloonekana usoni mwa angahewa ni [[dhoruba]] ya [[tufani]] kubwa sana iliyotazamwa mara ya kwanza miaka 300 iliyopita wakati [[darubini]] za kwanza zilipopatikana. Duniani tufani zinapotea kwa kawaida baada ya [[wiki]] kadhaa lakini doa jekundu limeendelea bila kusimama.
|