Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Taurus 3m-6m.gif|300px|thumb|Mwangaza unaonekana kwa mfano wa kundinyota ya [[Tauri (kundinyota)|Tauri]]:<br/> mjini penye nuru nyingi nyota hadi mag 4 zinaonekana,<br/>mashambani penye giza hadi mag 6]]
'''Mwangaza''' ni tabia ya [[nyota]] inayosaidia kuzitofautisha baina yake. Kuna tofauti kati ya '''mwangaza unaoonekana''' (ing. ''[[:en:apparent magnitude|apparent magnitude]]'') na '''mwangaza halisi''' (ing. ''[[:en:absolute magnitude|absolute magnitude]]'').
 
Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaweza kuonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.
 
* '''Mwangaza unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. KadriJinsi uang‘avu niulivyo juu nambandivyo yakekiasi nicha ndogo."mag" kinakuwa kidogo.<ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu kenyelenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya [[Rijili Kantori]] ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kushindakuliko nyota kubwa zaidi ya [[Ibuti la Jauza]] kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
 
* '''Mwangaza halisi''' ni kipimo cha ukali wa nuru jinsi ingeonekana kwa mtazamjimtazamaji aliyeko katika umbali sanifu. Umbali huu ulisanifishwa kuwa miaka ya nuru 32.6<ref name=Laet29>Rony De Laet, ''The Casual Sky Observer's Guide: Stargazing with Binoculars and Small Telescopes'' (New York: Springer, 2012), p. 29</ref><ref> au [[parsec]] 10</ref> Kipimo hiki kinawaruhusu wanaastronomia kulinganisha uang‘avu wa magimba kwa kutumia umbali sanifu.
 
==Kipimo cha magnitudo==