Roskosmos : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Aliulinda "Roskosmos" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Roscosmos logo ru.svg|200px|thumb|right|Nembo ya Roskosmos]]
'''Roskosmos''' ([[rus.]] Роскосмос) ni jina la kifupi la shirika la serikali ya [[Urusi]] kwa shughuli za kiraia kwenye [[anga laya nje]]. Jina kamili kwa [[Kirusi]] ni Государственная корпорация по космической деятельности (''gosudarstvenaya korporatsiya po kosmocheskoi deyatelnosti'' "shirika ya kiserikali ya shughuli za angani").
 
Shirika hili lilianzishwa tarehe 1 Januari 2016 kwa amri ya rais [[Vladimir Putin|Putin]] likachukua nafasi ya mamlaka ya kitaifakitangulizi yenye jina lilelile.<ref>[http://tass.ru/en/science/847295 Russian space agency gets replaced by state corporation — Kremlin], [[TASS]] 2015-12-28, ikitazamiwa 2016-02-02</ref><ref>[http://nasawatch.com/archives/2015/12/putin-formally.html Russian Space Follies], NASA Watch 2015-12-30, ikiangaliwa tar. 2016-02-02</ref>ROSKOSMOS kwa unganisha mamlaka ya awaliiliyounganishwa na Shirika la Roketi na Anga laya Nje (Объединенная ракетно-космическая корпорация, United Rocket and Space Corporation)iliyowahi iliyotengenezakutengeneza [[vyombo vya anga]].
 
LinahusikaRoskosmos mpya inahusika na miradi yote ya kiraia (tofauti na miradi ya kijeshi) ya Urusi kwenye anga. Makao makuu yapo Moscow na kituo cha kufunza wanaanga hukokipo kwenye "Mji wa nyota" ([[Swjosdny Gorodok]]). Kituo cha kurusha roketi kinapatikana [[Baikonur]] katikanchini [[Kazakhstan]] iliyokuwa kituo cha [[Umoja wa Kisovyeti]].
 
Kwa jumlaujumla shirika la Roskosmos inachukualinachukua nafasi ya taasisi mbalimbali zilizohusika zamani ya ukomunisti katika [[Umoja wa Kisovyeti]] kupanga, kutengeneza na kutoa roketi na vyombo vya angani kama vile [[Sputnik 1]], [[Soyuz]] na [[MIR]].
 
===Wanaanga Warusi (zamani za Umoja wa Kisovyeti)===