Voyager 1 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga katika [[mfumo wa jua]] letu hadi [[anga la -nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.
 
==Chomboanga cha mbali kutoka dunia==
Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na dunia yaani 123.5 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 18.35; nuru ya jua inahitaji zadi ya masaa 17 kufikia voyager 1 (hali ya Desemba 2012).
 
Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda laya heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[jua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.
 
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[Plutoni]] nururifu zinazopangwa kutoa umeme hadi mwaka 2020.
Mstari 45:
 
[[Category:Usafiri wa angani]]
{{wikinyota}}