Panji (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
 
==Jina==
Panji niinapatikana kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia, Wazungu kuzungukawalipozunguka duniaDunia yote yaanikatika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. HazikujulikanaHazikutajwa kwakatika vitabu vya Wagiriki wa Kale au Waarabu. waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]].
 
Keyser alitumia jina la [[Kihispania]] “Dorado” linalomaanisha “ya dhahabu” na hii ni rangi ya samaki ya [[Panji]]. <ref>Panji inaitwa pia “Fulusi” katika maeneo kadhaa ya pwani la Afrika ya Mashariki. Jina la kitaalamu ni Coryphaena hippurus.</ref>
 
Leo Dorado – Panji iko kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Dor'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Nyota angavu zaidi ni α Alfa Doradus ambayo ni [[nyota pacha|nyota maradufu]] ambayo ni [[nyota kigeugeu|kigeugeu]]badilifu yenye [[uangavu unaoonekana|mwangaza unaoonekana]] wa 3.3 [[mag]] ikiwa na umbali wa Dunia wa [[miaka ya nuru]] 176<ref> [http://stars.astro.illinois.edu/sow/alphador.html Alpha APS (Alpha Doradus)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
[[Wingu Kubwa la Magellan]] ambayo ni [[galaksi kibete]] jirani yenye nyota bilioni 15 iko mpakani kati ya Panji na [[Meza (kundinyota)| Meza]] (''[[:en: Mensa|Mensa]]''). Umbali wake na Dunia ni miaka ya nuru 170,000.