Chombo cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
Marekani iliendelea kuandaa [[safari]] ya kufika [[Mwezi (gimba la angani)|mwezini]] na kuwafikisha wanaanga [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] mwezini tarehe [[20 Julai]] [[1969]] kwa kutumia chombo [[Apollo 11]].
 
Ilhali maandalizi ya safari za kupeleka watu kwenye [[anga la -nje]] ni ghali sana bila kuleta [[faida]] kubwa [[Uchumi|kiuchumi]] au [[Sayansi|kisayansi]], kuna mamia vyaya vyombo vya anga vinavyozunguka dunia na kutekeleza kazi muhimu. Hivi huitwa pia [[satelaiti]] zikifuata mwendo wa kudumu wa kuzunguka dunia au kukaa mahali pamoja angani juu ya [[uso]] wa dunia. [[Utabiri]] wa [[hali ya hewa]] hutegemea [[data]] na [[picha]] kutoka vyomboanga. Sehemu ya [[majadiliano]] kwa [[simu]] na sehemu kubwa ya picha za [[televisheni]] hupitahupitia satelaiti, na vilevile data za [[teknolojia]] kama [[GPS]].
 
Vyomboanga vingine kama [[vipimaanga]] vinapewa kazi ya [[upelelezi]] angani hasa kukaribia [[sayari]], kukusanya data zao na kuzituma duniani. Habari nyingi juu ya sayari za [[mfumo wa jua letu]] zimepatikana kutokana na [[upimaji]] uliotekelezwa na vipimaanga hivi.
Mstari 20:
[[Category:Usafiri wa angani| ]]
[[jamii:Chombo cha angani]]‎
{{wikinyota}}