Mizani (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Libra constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya Mizani - Libra jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
 
'''Mizani''' ni [[kundinyota|kundinyota]] ya [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Libra constellation|Libra]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Libra" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Librae" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Librae, nk.</ref>. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
[[Nyota]] za Mizani huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Mizani" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.