Majira ya baridi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Kwa [[Kiswahili]] majira ya baridi pia huitwa [[kipupwe]].
 
Pengine baridi inakuwa kali sana na kuendana na [[barafuto]]: ndiyo maana maeneo mengine ya [[dunia]] hayana wakazi wa kudumu, hasa [[bara]] la [[Antaktiki]]. Ni kinyume cha [[majira ya joto]] au [[chaka]].
 
Yanafuata [[majira ya kupuputika majani]] (kwa Kiingereza "Fall" au "Autumn") na kutangulia [[majira ya kuchipua]] (kwa Kiingereza "Spring").