Mnyama : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
sarufi |
||
Mstari 59:
'''Wanyama''' ni [[viumbehai]] wasio [[mmea]], [[kuvu]], [[bakteria]], [[protista]] au [[Archaea|arkea]]. Vile vile tunaweza kusema [[wanyama]] ni viumbehai wanaotegemea [[chakula]] kutoka sehemu nyingine: wao hawana uwezo wa kujitengenezea chakula chao wenyewe kupitia [[usanisinuru]] ([[nishati]] ya [[jua]]) lakini kutoka kwa viumbehai vingine ama wanyama wengine au mimea.
Wanyama wanahitaji [[oksijeni]] kwa [[upumuo|kupumua]].
|