Boma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Boma''' ni neno la Kibantu lenye maana ya nyumba ya mkuu wa kaya, lakini Wajerumani walipofika pwani ya Afrika ya mashariki walitumia neno hilo katik...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:A boma in the forest.jpg|thumb|Boma pale [[Katanga]] kwenye karne ya 19]]
'''Boma''' ni neno la [[Kibantu]] lenye maana ya nyumba ya mkuu wa [[kaya]], lakini Wajerumani walipofika pwani ya Afrika ya mashariki walitumia neno hilo katika majengo yao maalumu ya serikali.
[[Picha:Old Boma Building, Blantyre.jpg|thumb|Old Boma Building, Blantyre ]]
[[Bundesarchiv Bild 105-DOA0698, Deutsch-Ostafrika, Sadani, Boma.jpg|Boma la Wajerumani pale [[Saadani<nowiki>]]</nowiki>, mnamo 1912]]
'''Boma''' ni sehemu au hasa jengo lililoviringishwa kwa vizuizi ili watu wasipite kirahisi kwa shabaha ya kujitetea dhidi ya maadui. Maana ya neno hili linaweza kuwa karibu na "[[ngome]]" lakini linaweza kutaja pia sehemu yoyote iliyoimarishwa kwa mfano "boma la ng´ombe" kama sehemu iliyviringishwa kwa miiba kwa kutunza mifugo wakati wa usiku.
 
==Historia==
[[Ludwig Krapf|Krapf (1882)]] alitoa ufafanuzi ''"Boma, a palisade or stockade serving as a kind of fortification to towns and villages. The boma may consist of stones or of poles, or of an impenetrable thicket of thorns."''<ref>[https://ia800209.us.archive.org/2/items/adictionarysuah00krapgoog/adictionarysuah00krapgoog.pdf Krapf, Ludwig: A dictionary of the Suahili language, London 1882], uk. 27-28</ref>.
 
Wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Wajerumani]] walieneza utawala wao kwa kujenga nyumba imara zilizofaa kwa kujitetea yaani maboma. Kutokana na vyanzo hivi "boma" liliendelea kutaja makao ya maafisa wa kiutawala na kwa maana hiyo hadi leo hata majengo ya wakuu wa wilaya mara nyingi huitwa "boma". Kwa njia hii "boma" au "bomani" imekuwa sehemu ya majina ya maeneo na kata mbalimbali katika Tanzania.
 
Kuna pia matumizi ya neno "boma" inayoweza kufanana na "[[kaya]]" kwa maana ya makazi ya familia.
 
Huko Kenya [[Ngome ya Yesu]] hutwa pia "Boma la Yesu".
 
[[jamii:Majengo]]