Tredimili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 11:
 
== Matumizi ya tredimili leo ==
Hivi leo, tredimili imekuwepo katika kila [[chumba cha mazoezi]]. [[Takwimu]]<ref>[https://www.sfia.org/</ref> Sports & Fitness Industry Association zaonyesha kwamba tredimili zinanunuliwa kwa wingi sana.
 
Tredimili zina [[uzani]] tofauti. Kuna zile ambazo hufai kuzitumia kama wewe umefikisha uzani wa [[paundi]] [[mia nne]] kwenda juu. Kuna nyingine za uzani wa paundi mia tatu hamsini kwenda juu. Hivyo kuna tredimili tofauti kulingana na watumiaji. Walio na [[uzani]] wa [[wastani]], watatumia tredimili ya wastani huku walio na [[uzito]] mwingi watatumia tredimili za watu wakubwa.