Joseph Mbilinyi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Joseph Osmund Mbilinyi''' (amezaliwa [[1 Mei]] [[1972]]) ni rapa, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa kutoka nchini [[Tanzania]]. Anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama '''Mr. II''' na '''Sugu''' au '''2-proud'''. Huyu ni miongoni mwa waanzilishi wa mwanzo kabisa wa [[hip hop ya Tanzania]]. Kwanza akiwa na [[Da Young Mob]], ambao alishirikiana nao katika kinyang'anyiro cha [[Yo Rap Bonanza]] iliyokuwa inaandaliwa na akina Kim the Boyz na Ibony Moalim katika miaka ya 1990 kabla ya kwenda kuwa rapa wa kujitegemea na
<ref name="stylusmagazine.com">[http://www.stylusmagazine.com/articles/pop_playground/bongoflava-the-primer.htm Bongoflava: The Primer – Pop Playground – Stylus Magazine<!-- Bot generated title -->]</ref> Mwishoni mwa mwezi Agosti, 2017, Sugu alifungua hoteli huko jijini Mbeya na kuipa jina la "Desderia Hotel".<ref>[http://www.richardmwambe.com/sugu-afungua-hoteli-ya-kifahari/ SUGU AFUNGUA HOTELI YA KIFAHARI] ingizo la tarehe 1 Septemba, 2017 - wavuti ya Richard Mwambe</ref>
|