Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 42:
 
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]]. Kwa hiyo, watu wengi hutafuta madawa ya kuua wadudu. Wanaofanya taaluma hiyo kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.
 
==Spishi kadhaa za Afrika==