Mshale (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
 
==Jina==
Mshale ni tafsiri ya Kausi. Mabaharia Waswahili wamejua nyota hizi kwa muda mrefu kwa jina la "Kausi" linalotokana na neno la Kiarabu ''Kaus'' <big>قوس</big> linalomaanisha "[[upinde]]",. maanaMaana hii ni karibu sawa na jina la [[Kilatini]] "Sagittarius" (mpiga upinde). Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.
 
Jina la "Kaus" limetumiwa pia katika [[astronomia ya kimagharibi]] kutaja nyota kadhaa zilizomo hapa kama vile Kaus Australis, Kaus Medius na Kaus Borealis.
 
Katika vitabu kadhaa vya shule za msingi nchini Tanzania "Kausi" imetumiwa kwa kosa kutaja [[sayari]] ya nane katika [[mfumo wa jua]] letu yaani [[Neptun]].
 
Katika unajimu wa kisasa jina la Kausi limeshasahauliwa na nyota hizi zinajulikana zaidi kwa “Mshale” ambayo inarejelea picha inayotumiwa kama ishara yake.
 
==Kuonekana==