Njia ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Ekliptiki" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Mstari 13:
Tangu miaka [[elfu]] kadhaa watazamaji wa nyota katika tamaduni mbalimbali za Dunia walishika [[kumbukumbu]] ya mabadiliko hayo yanayotokea sambamba na mabadiliko ya [[majira]].
 
Vilevile tangu kale watu waliwahi kupanga nyota za angani katika [[kundinyota]]. Kwa jumla ni kundinyotamakundinyota 12 zaya kurudia zilizoonekana tangu kale ya kuwa Jua linapita katika maeneo yake katika muda wa mwaka. [[Mzingo]] unaounganisha kundinyota hizi 12 ambako Jua linapita ni mstari wa ekliptiki.
 
[[Jina]] "ekliptiki" linatokana na [[neno]] la [[Kigiriki]] Εκλειψις ''ekleipsis'' linalotaja [[Kupatwa kwa Jua]] au [[Kupatwa kwa Mwezi]]. Maana kila mara tukio kama hili linatazamwa Jua au Mwezi uko kwenye mstari wa ekliptiki.