Mhindi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
==Mahali pake==
Mhindi inapatikana kati ya nyota angavu za Alnair (α Alfa Gruis) katika Kuruki na Peacock (α Alfa Pavi) katika Tausi. InapakanaLinapakana na kundinyotamakundinyota zaya [[Kuruki (kundinyota)|Kuruki]] (''[[:en:Grus|Grus]]'') na [[Hadubini (kundinyota)| Hadubini]] (''[[:en:Microscopium| Microscopium]]'') upande wa kaskazini, [[Darubini (kundinyota)|Darubini]] (''[[:en: Telescopium]]'') na [[Tausi (kundinyota)|Tausi]] ([[:en:Pavo|Pavo]]) upande wa mashariki, [[Thumni (kundinyota)|Thumni]] (Octans) upande wa kusini na [[Tukani (kundinyota)|Tukani]] (Tucana) upande wa magharibi.
 
==Jina==
Mhindi inapatikanalinapatikana kati ya kundinyotamakundinyota zilizobuniwayaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote katika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. Hazikutajwa katika vitabu vya Wagiriki wa Kale au Waarabu. Kundinyota hiihili ilielezwalilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]] na kupokelewa katika “Uranometria” ya [[Johann Bayer]]..
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “De Indiaen” (yaani Mhindi) lililotajwa baadaye kwa jina la [[Kilatini]] „Indus“. Jina hili alilitumia kama kumbukumbu ya watu aliowaona mara ya kwanza katika maisha yake kwenye eneo la Bahari ya Hindi pale Madagaska na kwenye visiwa vya Indonesia. Baadaye alichukuliwa mara kadhaa kwa maana ya “Wahindi Wekundu” yaani Maindio wa Marekani ambayo si maana ya kiasili.
 
Leo Mhindi ipo pia katika orodha ya kundinyotamakundinyota 88 zinazoorodheshwayanayoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Ind'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==