Kilimia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
== Tabia za kiastronomia ==
Kwa macho nyota sita hadi saba zaonekana vizuri sana na hadi 14 kwa jumla. Lakini kwa darubini kilimia ni fungunyota yenyelenye nyota 1,200. Umbali wake na jua letu ni [[miaka ya nuru]] 410. Umri wake hukadiriwa kuwa miaka milioni 125.
 
== Ishara ya mvua ==
Fungunyota hiihili inaonekanalinaonekana vizuri kabisa kwa macho. InaanzaLinaanza kuonekana angani masaa ya mwanzo wa usiku katika miezi kuanzia Oktoba. Hivyo kuonekana kwake imechukuliwa na wazee katika Afrika Mashariki kama kalenda ya kuandaa mashamba na kilimo kwa sababu mvua umekaribia. Hii ni sababu ya kupewa jina la "kilimia" kutokana na "kulima, kilimo".
 
Waswahili walitumia pia jina la kiarabu la "thuria" (ثریا).