Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
 
== Hatari za kimbunga ==
Kimbunga kinaweza kusababisha hasara kubwa kikigusa [[meli]] baharini na zaidi [[Mwambao|mwambaoni]] inapofikia nchi kavu au [[visiwa]]. [[Nguvu]] ya upepo husukuma maji mengi ya bahari inayoweza kufikakufikia [[mita]] kadhaa [[Uwiano wa bahari|juu ya uwiano wa kawaida]] wakati wa kufika mwambaoni. [[Wimbi]] kubwa linaleta [[mafuriko]] wa ghafla yanayoweza kuvunja [[nyumba]] na kupeleka maji ya bahari [[mita]] [[mia]] kadhaa [[Bara|barani]]; penye [[mdomo]] wa [[mto]] wimbi la bahari linaendelea kuenea kwa kufuata njia ya mto.
 
Hatari zinazofuata ni hasa kasi ya [[upepo]] pamoja na kiasi kikubwa cha [[mvua]]. Kasi ya upepo inaweza kuinua vitu vizito kama [[miti]], [[mapaa]] ya nyumba au [[magari]] na kuvirusha mbali. [[Watu]] huuawa na [[mali]] kuharibiwa. Wingi wa mvua husababisha mafuriko yanayofuata njia ya kimbunga juu ya nchi kavu, wakati mwingine kwa [[kilomita]] mia kadhaa kutoka mwambao<ref>[https://www.weather.gov/safety/hurricane Hurricane Safety Tips and Resources], tovuti ya Idara ya Meteorolojia ya Kitaifa, Marekani, iliangaliwa Machi 2019</ref>.
Mstari 19:
Huko [[Amerika]] ni hasa [[visiwa vya Karibi]] na nchi jirani za [[Ghuba ya Meksiko]] pamoja na kusini mwa [[Marekani]] zinazoathiriwa kila [[mwaka]].
 
Barani [[Afrika]] ndiyo [[Msumbiji]] pamoja na nchi jirani iliyoona mara kwa mara uharibifu kutokana na dhoruba. Mwaka [[2019]] kimbunga kilichoitwa Idai<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-47578953 Kimbunga Idai: Msumbiji katika hatari kimbunga kingine kikali kikitua], tovuti ya BBC-Kiswahili tar 15-ß3-2ß19</ref> kiliharibu [[Beira (Msumbiji)|mji mkubwa wa Beira]] na kusababisha [[Kifo|vifo]] hadi [[Zimbabwe]] na [[Malawi]]<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-47621240 Kimbunga Idai: Serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe], tovuti ya BBC Kiswahili, 19-03-2019</ref>. Kimbunga hiki kilifuatwa na kimbunga kilichoitwa "Kenneth" kilichosababisha maafa kwenye visiwa vya Komori na kufika barani katika kaskazini ya Msumbiji karibu na [[Pemba (Msumbiji)|mji wa Pemba]] na kuathiri pia kusini ya [[Tanzania]]<ref>[http://meteo.go.tz/uploads/files/TAARIFA%20YA%20UWEPO%20WA%20MGANDAMIZO%20MDOGO%20WA%20HEWA%20KASKAZINI%20MWA%20KISIWA%20CHA%20MADAGASCA_24_4_2019-1.pdf Taarifa kwa umma kuhusu Kimbunga Kenneth], tovuti ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, iliangaliwa 25-Aprili-2019</ref>.
 
== Majina ya Vimbunga ==