Voyager 1 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 6:
Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na dunia yaani 123.5 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 18.35; nuru ya jua inahitaji zadi ya masaa 17 kufikia voyager 1 (hali ya Desemba 2012).
 
Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda ya heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[juaJua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.
 
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[Plutoniplutoni]] nururifu zinazopangwazinazozidi kutoakufifia. umemeImekadiriwa hadikwamba kifaa cha mwisho kinachoweza kupima data kitazimika mwaka 20202013.
 
==Kupita mipaka ya mfumo wa jua==